Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kilichoangaziwa

JE SABUNI NI KIUATILIFU (DAWA YA WADUDU)

JE SABUNI INAWEZA KUTUMIKA KAMA KIUATILIFU???? Na Abbas Mpinga Agronomist (Kilimo Expert) +255757139423 BONYEZA HAPA KUPATA FORMULA ZA KILIMO SABUNI ni Moja Ya Viuatilifu salama kwa binadamu kwasababu inauwezo wa kuuwa wadudu jamii ya vidukari kwa njia ya mguso na mfumo kwa ufanisi saana bila ya kuwa na madhara hasi kwa Afya ya binadamu  Sabuni ina Kiambata cha Sodium au potassium Hydroxide (Na/KOH) ambayo ni very Alkaline compound  Alkalinity yake si rafiki kwa wadudu wasumbufu shambani (Crop pest) hivyo ikitumiwa kwa wadudu hususani vidukari huweza kuwauwa kirahisi saana  Sabuni huathiri membranes ya seli ya mdudu  Sabuni huathiri mfumo wa upumuaji wa mdudu  Sabuni huathiri na kuharibu gamba la ngozi ya mdudu  Sabuni huingilia mfumo wa homoni wa mdudu  Hii ni kwasababu pia Sabuni ina kinatishi (sticker) ambacho hurahisisha ufanyaji kazi wa Sabuni (NaOH) kama kiuatilifu  Hii ni maarufu pia kwa wakulima na wadau ww viuatilifu duniani, Ili kiuatilifu kifanye kazi kwa urahisi, ufanisi na

Machapisho Mapya Zaidi

MUONGOZO MFUPI WA KILIMO BORA CHA ALIZETI

KILIMO CHA BUTTERNUT MABOGA LISHE

Mbegu ya Nyanya Assila F1

KILIMO BORA CHA VIAZI LISHE

UGONJWA WA BAKAJANI CHELEWA KWENYE NYANYA (LATE BLIGHT)

POTASSIUM NUTRIENT (K) (KIRUTUBISHO CHA POTASHIUM)

FAIDA YA KULOWEKA MBEGU KABLA YA KUSIA (PRE-GERMINATION)

KILIMO BORA CHA MPUNGA