Mbegu ya Nyanya Assila F1


Kiasi cha mbegu kwa ekari: 30gm 
Mavuno kwa ekari: tani 35
Nafasi baina ya mistari: sentimita 60-100
Nafasi baina ya mashina: sentimita 45-60

Zifuatazo ni Sifa za mbegu ya Nyanya ASILA F1

1. Ni moja ya mbegu yenye tunda kubwa zaidi 

2. Mmea wake unavumilia joto kali 

3. Tunda la asila ni gumu


4. Tunda la asila lina umbo mshumaa 

5. Maisha rufani ya tunda la asila ni zaidi ya siku 21 baada ya kuvunwa kwenye mazingira rafiki

6. Asila haivumilii mvua nyingi na baridi kali 

7. Asila inavumilia ugonjwa wa ngumi (TYLCV)
8. Asila f1 inauwezo wa kuzaa mavuno kuanzia tani 30 hadi 35.

9. Asila F1 huzaa kwa muda wa siku 70 hadi 75 tangu kupandikizwa

10. Asila F1 inavunwa na kuendelea kuzaa kwa muda wa miezi miwili na nusu hadi 3.


MUDA WA KUPANDA ASILA KWA MAENEO YA KENYA NA TANZANIA NI KUANZIA MWEZI JUNE HADI OCTOBER.


UKINUNUA MBEGU UTAPATA FORMULA YA ZAO HUSIKA BURE 

AU PIGA SIMU 
+255757139423/+255717439423
Gharama za kusafirisha mizigo kwa bus 5,000/= hadi 10,000/=
Gharama za kusafirisha mizigo kwa ndege 10,000/= hadi 15,000/=


Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu