DAWA YA KUPALILIA ALIZETI NA UFUTA
Habari ndugu mkulima Baada ya wakulima kupata changamoto ya kukosa dawa nzuri ya kupalilia ALIZETI na UFUTA , mtandao wetu wa kilimo wa Kilimo for life umebaini kuwa; kiuwa gugu aina ya Halaxy 108 EC na Byter-Alizeti ni Viuwa gugu chaguzi bora zaidi kwenye zao la Alizeti, UFUTA na maharage kadhalika Changanya kiasi cha mls 150 kwenye Lita 16-20 za maji Kisha pulizia kwenye shamba la alizeti lenye magugu. Viuwa gugu hivi vinadhibiti kwa uhakika zaidi magugu jamii ya nyasi.