The most common and effective fungicides in Tanzania

This article is going to be translated in swahili language.

MADAWA BORA YA KUTIBU NA KUKINGA MAGONJWA YA FANGASI/ UKUNGU/KUVU/BARAFU

 Mr Mpinga: 

+255757 139 423 (WhatsApp)
Call +255764 191 170

1. Protective fungicides (Madawa yenye kukinga pekee)

These type of fungicides can be used to protect the plant from fungal infections 7 to 14 days. They should be applied before the infections. 
Haya ni madawa yanayo toa kinga tu kwenye mmea dhidi ya kuvu kwa siku 7 hadi 14.

Hupulizwa kabla ugonjwa haujaingia kwenye mmea.

2. Curative and protective fungicides
(Madawa yenye kukinga na kutibu)

These are fungicides that cure the fungal Infections and also offer extra protections for 7 to 14 days against fungal infections. They should be applied before and even after infection symptoms have appeared.
Haya ni madawa (viuwa kuvu) yanayo toa kinga na tiba dhidi ya kuvu.

Hupuliziwa kabla na hata baada ya ugonjwa kuingia shambani/kwenye mmea.

Yafuatayo ni madawa (viuwa kuvu ) bora zaidi nchini
                          SUPERWILL 72 SC

This contains active ingredients, Chlorothalonil and Dimethomorph for protection and curation 
              Hii ni Dawa nzuri zaidi kwa kukinga na kutibu magonjwa yoote ya fangasi ikiwemo kutu sugu, ukungu n.k

WILTHANE

This contains Carbendazim, for protection and curation 
Hii ni dawa ya ukungu yenye kukinga na kutibu magonjwa yoote ya fangasi ikiwemo kutu sugu pia

FARMERZEB 80 WP
This contains Mancozeb for protections only
Hii ni Dawa nzuri kwaajili ya kukinga tu dhidi ya magonjwa ya fangasi aina zoote 

WILZEB 800 WP
This also contains mancozeb for protections only
Hii pia ni dawa nzuri zaidi kwa kukinga tu dhidi ya magonjwa yoote ya fangasi 


OSHOTHANE 80 WP
This contains mancozeb for protections only
Hii pia ni dawa ambayo hutoa kinga pekee ya magonjwa ya fangasi 

MBEGU BORA ZA TIKITI, VITUNGUU, NYANYA, HOHO, N.K: BEST SEEDS

        LINKMIL 72 WP
This contains mancozeb and metalaxyl for protections and curation.
Hii ni Dawa nzuri ya ukungu yenye kukinga na kutibumagonjwa yoote ya fangasi

                        RIDOMIL GOLD
This is genuine fungicides for protections and curation.
Hii hutibu na kukinga magonjwa yoote ya fangasi


MISTER 72
This contains mancozeb and metalaxyl for protections and curation 
Hii hutibu na kukinga magonjwa yoote ya fangasi

TANKOPA 50 WP
This contains cooper oxychloride for protections 
Hii hukinga na kutibu magonjwa yoote ya fangasi

SNOW-THANE M-45
This contains mancozeb for protections only 
Hii hutoa kinga pekee ya magonjwa ya fangasi 

Z-FORCE
This contains mancozeb for protections only 
Hii pia hutoa kinga pekee ya magonjwa ya fangasi 

EBONY M 72 WP
This contains mancozeb and metalaxyl for protections and curation 
Hii hutibu na kukinga magonjwa yoote ya fangasi

BAJUTON WP
This contains triamidefon for protections and curation 
Hii pia hutibu na kukinga magonjwa yoote ya fangasi 


IVORY M 72 WP
This contains mancozeb and metalaxyl for protections and curation 
Hii hutibu na kukinga magonjwa yoote ya fangasi 



MILTHANE SUPER 
This contains mancozeb for protections only 
Hii pia hutoa kinga pekee ya magonjwa ya fangasi 


The type of all fungicides can be used to almost all crops.
KUMBUKA: MADAWA HAYA HUTUMIKA KATIKA MIMEA/MAZAO AINA TAKRIBANI ZOTE 

KWA USHAURI NA MSAADA WA MASUALA YA KILIMO 

Call: +255 764 191 170
WhatsApp: +255 757 139 423
Instagram: Mr Mpinga 

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu