Mpangilio wa Mbolea kwenye kilimo cha Nyanya
Mfumo rahisi wa mpangilio wa mbolea kwenye kilimo cha Nyanya kwa mavuno mazuri endelevu.
KITALUNI: Siku 7 baada nyanya kuota kitaluni
Pulizia mbolea ya maji ya kuanzia (Stater): wuxal micromix au fast grow, agrigrow, synergize, superneo n.k
Pulizia kila baada ya siku 7 kwa week 3.
SIKU 7 BAADA YA KUPANDIKIZA
Weka mbolea 5gm ya DAP au Yaramila otesha sentimita 5 pembeni ya mche
Au pulizia mbolea ya maji vegetative kama vile wuxal micromix, Eazy grow, superneo, n.k
SIKU 25 BAADA YA KUPANDIKIZA
Weka mbolea 10gm ya NPK au yaramila winner sentimita 5 pembeni mwa mche.
SIKU 35 BAADA YA KUPANDIKIZA (HATUA YA MAUA)
Weka mbolea 10gm ya Yaraliva Nitrabor au Calcibor 5cm pembeni ya mche.
SIKU 45 BAADA YA KUPANDIKIZA (HATUA YA MATUNDA)
weka 10gm ya mchanganyiko wa mbolea ya NPK au yaramila winner na mbolea ya Yaraliva Nitrabor au Calcibor kwa uwiano sawa (50:50)kg
KILA BAADA YA WEEK 2 KUANZA KUVUNA
weka 10gm ya mchanganyiko wa mbolea ya NPK au yaramila winner na mbolea ya Yaraliva Nitrabor au Calcibor kwa uwiano sawa (50:50)kg
MBOLEA ZA MAJI BORA
1. KUANZIA: WUXAL MICROMIX
2. KUKUUZIA: TECAMIN MAX, WUXAL MICROMIX
3. KUCHOCHEA MAUWA: TECAMIN FLOWER
4. KUNENEPESHA MATUNDA: TECAMIN BRIX
WASILIANA NASI KUPATA FOMULA (MBOLEA NA VIUATALIFU) YA KILIMO CHA NYANYA NA MAZAO MENGINE KWA UNAFUU.
WASILIANA NASI
+255757 139 423 Mr Mpinga agronomist
+255717 439 423 Mr Mpinga agronomist
kilimoforlife@gmail.com
Instagram: Mr Mpinga
Maoni
Chapisha Maoni