Mbegu bora ya Nyanya Msimu wa Mvua na wa Joto




Na Mr Mpinga +255 757139423/717439423
Facebook: Abbas Mpinga
Instagram: Mr Mpinga
Twitter: Abbas Mpinga





Kwa kuwa lengo letu ni kuelimisha,  kutaalamisha, kujulisha na kufahamisha chochote kinachojiri katika ulimwengu wa kilimo; Hapa nitajuza kidogo kuhusu nilichojionea kutokana na mbegu bora katika msimu wa mvua nyingi pamoja na Joto kali.

SIFA F1
Mbegu hii ya nyanya imeweza kufanya vyema kwenye mazingira yote ya nchini kwetu.

Inahimili mikiki ya mvua nyingi bila vikwazo.

Inahimili sana magonjwa ya fangasi/Kuvu yanayosababishwa zaidi na mvua na hali ya unyevu.

Inahimili sehemu za joto kali na ukame,  hata ikikosa maji kwa muda mrefu.

Ni nyanya isiyorefuka saana,  Hivyo waweza kutoiwekea miti kuisimamisha.

Ina matunda makubwa yenye umbo chongofu na Ngozi ngumu saana kuuzwa sokoni kwa muda mrefu bila kuoza.

Maoni

Machapisho Maarufu