Fahamu Mbegu mpya bora kabisa za Nyanya
, Kujuza, Kuelekeza, kuonesha na kufahamisha mbegu bora kulingana na soko letu Nchini.
HIZI NI MBEGU BORA ZA NYANYA KWA WAKATI HUU.
BONYEZA HAPA KUNUNUA FOMULA ZA MBOLEA KWENYE MAZAO
Na Mr Mpinga +255 757 139 423
CONTINENTAL COMMANDO F1
Inastahimili joto na baridi
Inastahimili mvuwa
Inastahimili mnyauko
Huvunwa miezi 3 hadi 4
CONTINENTAL RANGER F1
Inazaa kwa miezi mitano mfululizo
Umbo mshumaa
Saizi ya wastani
Inastahimili joto kali
Ni mahsusi kukabiliana na mnyauko
CONTINENTAL SIFA F1
Umbo na saizi kubwa zaidi
inastahimili joto, baridi na mvuwa nyingi.
Ina zaa muda mrefu miezi 4
Ina ngozi ngumu
CONTINENTAL STEVE F1
Hii ni mbegu inayorefuka zaidi
Huvunwa miezi nane mfululizo katika green house.
Inalimwa zaidi kwenye green house, na nje pia.
Ina umbo la mshumaa
Hustahimili baridi na joto
WASILIANA NAMI KUHUSU KUPATA MBEGU BORA NA KILIMO CHA MAZAO YOTE.
+255 757 139 423
+255 717 439 423 MR MPINGA AGRONOMIST
INSTAGRAM: Mr Mpinga
INSTAGRAM: Mr Mpinga
FACEBOOK: ABBAS MPINGA
One love
JibuFutakahise kibiti boys
FutaSamahani Mkuu,naomba muongozo kuhusu kilimo cha Hoho.Kwa sasa nimesia mbegu ya Yolo Wonder,naomba maelekezo ya kitaalamu ili nipate mavuno mazuri.
JibuFutaAhsante na samahani Kwa usumbufu,jibu lako muhimu na ninalisubiria.
Wako mdau
Ally Ally
Mobile: 0621095965/WhatsApp
Moshi-Tanzania
Humuhumu katika blog kuna MUONGOZO wa kilimo cha hoho
Futa