Mpangilio wa mbolea katika kilimo cha Nyanya Shambani

MATUMIZI YA MBOLEA ZA YARA KATIKA ZAO LA NYANYA


BONYEZA HAPA KUNUNUA FORMULA ZA MBOLEA KWENYE MAZAO

KUPANDIKIZA MICHE.
TUMIA: 75-100kg/acre YaraMila OTESHA.

WIKI MBILI BAADA YA KUPANDIKIZA MICHE.
Wiki 2 baada kupandikiza nyunyizia YaraVita Tracel BZ Kama booster.
KUKUUZIA MIMEA
TUMIA: 75kg YaraMila Winner Wiki 3 baada ya kuweka mbolea ya YaraMila OTESHA.
KABLA YA MAUA KUTUNGA RASMI.
mda mfupi kabla maua kutunga  tumia YaraLiva Nitrabor 50 - 75kg/eka, utarudia kiasi hicho hicho cha YaraLiva Nitrabor katikati ya msimu wa kuchuma.
KUMBUKA: pandikiza/transplant miche yako siku 14 baada ya KUOTA

Mpangilio wa mbolea katika kilimo cha kitunguu 

MAELEZO HAYA NI KWA MSAADA WA BWANA SHAMBA WA YARA TANZANIA LTD

BONYEZA HAPA KUUNGANA NA KILIMO FOR LIFE FARMERS GROUP 

https://chat.whatsapp.com/HhTw8NzlzAhLfZBH6QImqE

+255 757 139 423 Mr Mpinga

Kilimoforlife@gmail.com

Maoni

Machapisho Maarufu