Faida ya mahindi ya kuchoma nchini Tanzania

KIBWAGIZO MUHIMU: USISITE KUSOMA.
Habari ndugu msomaji wa makala za kilimo for life? leo ningependa kukuhusisha kibwagizo changu kifupi ambacho kwahakika kabisa naamini kitakuwa na manufaa kwako ama kwa mwengine kupitia kwako ambae utasoma na kukielewa kibwagizo changu cha leo.
leo ningependa kukuzinduweni baadhi ya wakulima watanzania ambao bado macho yenu hayajafungukiwa na fursa hii ya kilimo cha mahindi ya kuchoma.
leo ningependa kukufahamisha yafuatayo juu ya kilimo cha mahindi ya kuchoma.

Image may contain: food



KILIMO CHA MAHINDI MABICHI KINA FAIDA MARA 8 HADI 10 ZAIDI YA KILIMO CHA MAHINDI YA KUSAGA UNGA.
HINDI 1 BICHI HUUZWA KWA SI CHINI YA 300/= TSH BEI YA JUMLA, NA BAADA YA KUCHOMWA HUUZWA 500 HADI 800/= TSH
HINDI 1 BICHI HUUZWA KWA SI CHINI YA 300/= TSH BEI YA JUMLA, NA BAADA YA KUCHOMWA HUUZWA 500 HADI 800/= TSH
KILO MOJA YA MAHINDI KWASASA NI HAIZIDI 450/= TSH
ILI KUIPATA KILO MOJA YA MAHINDI UNAHITAJI UWE NA MAHINDI MAKUBWA 8 HADI 10.
AMBAPO KWA BEI YA MAHINDI MABICHI UNGEUZA MAHINDI 10 KWA 3,0O0/= TSH.
HICHO NI KIBWAGIZO TU.

WASILIANA NAMI
+255 757 139 423 Mr Mpinga
Kilimoforlife@gmail.com

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu